Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
069

Al-Haqqah 69:46 ثم لقطعنا منه الوتين ٤٦

69:46
ثُمَّ
لَقَطَعۡنَا
مِنۡهُ
ٱلۡوَتِينَ
٤٦
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

kisha tungalimkata mshipa wa moyo wake.,
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 69, Ukurasa 568, Juzuu 29

38. Basi naapa kwa mnavyo viona, 39. Na msivyo viona, 40. Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima. 41. Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayo yaamini. 42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka. 43. Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 44. Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu, 45. Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia, 46. Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo! 47. Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia. 48. Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu. 49. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanao kadhibisha. 50. Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa. 51. Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini. 52. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia