Al-Hijr 15:14 ولو فتحنا عليهم بابا من السماء فظلوا فيه يعرجون ١٤
وَلَوۡ
فَتَحۡنَا
عَلَيۡهِم
بَابٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَآءِ
فَظَلُّواْ
فِيهِ
يَعۡرُجُونَ
١٤
Na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau tuliwafungulia makafiri wa Makkah mlango wa mbingu, wakaendelea kupanda kuingia ndani wapate kuyashuhudia yaliyomo mbinguni ya ajabau za ufalme wa Mwenyezi Mungu, hawangaliamini
Na lau tuliwafungulia makafiri wa Makkah mlango wa mbingu, wakaendelea kupanda kuingia ndani wapate kuyashuhudia yaliyomo mbinguni ya ajabau za ufalme…