Al-Hijr 15:16 ولقد جعلنا في السماء بروجا وزيناها للناظرين ١٦
وَلَقَدۡ
جَعَلۡنَا
فِي
ٱلسَّمَآءِ
بُرُوجٗا
وَزَيَّنَّٰهَا
لِلنَّٰظِرِينَ
١٦
Na hakika tumeweka katika mbingu vituo vya sayari, na tumezipamba kwa wenye kuangalia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa dalili za uweza wetu ni kwamba sisi tumeweka kwenye uwingu wa karibu vituo ya sayari kushukia, ambayo kwayo zinajulikana njia, nyakati, urutuba na ukavu, na tumeupamba uwingu huu kwa nyota ili wenye kuziangalia wataamali na wazingatie.
Na miongoni mwa dalili za uweza wetu ni kwamba sisi tumeweka kwenye uwingu wa karibu vituo ya sayari kushukia, ambayo kwayo zinajulikana njia, nyakati…