Al-Hijr 15:23 وانا لنحن نحيي ونميت ونحن الوارثون ٢٣
وَإِنَّا
لَنَحۡنُ
نُحۡيِۦ
وَنُمِيتُ
وَنَحۡنُ
ٱلۡوَٰرِثُونَ
٢٣
Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ndio sisi tunaompa uhai aliyekufa kwa kumpatisha kutoka kwenye hali ya kutokuwako, na tunamfisha aliyekuwa hai baada ya ajali yake kukoma. Na sisi ndio wenye kuirithi ardhi na walioko juu yake.
Ndio sisi tunaompa uhai aliyekufa kwa kumpatisha kutoka kwenye hali ya kutokuwako, na tunamfisha aliyekuwa hai baada ya ajali yake kukoma. Na sisi ndi…