Al-Hijr 15:35 وان عليك اللعنة الى يوم الدين ٣٥
وَإِنَّ
عَلَيۡكَ
ٱللَّعۡنَةَ
إِلَىٰ
يَوۡمِ
ٱلدِّينِ
٣٥
Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
umeshukiwa na laana na umewekwa mbali na rehema yangu mpaka Siku ya kufufuliwa watu ili wahesabiwe na walipwe..»