Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hijr 15:37

15:37
قال فانك من المنظرين ٣٧
قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلْمُنظَرِينَ ٣٧
قَالَ
فَإِنَّكَ
مِنَ
ٱلۡمُنظَرِينَ
٣٧
(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Wewe ni miongoni mwa wale niliowapa muda na kuchelewesha kuwaangamiza mpaka siku ambayo viumbe wote watakufa baada ya Mpulizo wa kwanza,