Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hijr 15:4

15:4
وما اهلكنا من قرية الا ولها كتاب معلوم ٤
وَمَآ أَهْلَكْنَا مِن قَرْيَةٍ إِلَّا وَلَهَا كِتَابٌۭ مَّعْلُومٌۭ ٤
وَمَآ
أَهۡلَكۡنَا
مِن
قَرۡيَةٍ
إِلَّا
وَلَهَا
كِتَابٞ
مَّعۡلُومٞ
٤
Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wakiomba kuteremshiwa adhabu, kwa kukukanusha, ewe Mtume, basi sisi hatuuangamizi mji, isipokuwa uwapo wakati wa kuangamizwa umeshapangwa; hatutawaangamiza mpaka waufikie mfano wa wale waliowatangulia.