Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hijr 15:44

15:44
لها سبعة ابواب لكل باب منهم جزء مقسوم ٤٤
لَهَا سَبْعَةُ أَبْوَٰبٍۢ لِّكُلِّ بَابٍۢ مِّنْهُمْ جُزْءٌۭ مَّقْسُومٌ ٤٤
لَهَا
سَبۡعَةُ
أَبۡوَٰبٖ
لِّكُلِّ
بَابٖ
مِّنۡهُمۡ
جُزۡءٞ
مَّقۡسُومٌ
٤٤
Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Una milango saba , kila mlango uko chini ya mwengine. Kila mlango utakuwa na fungu na sehemu la wafuasi wa Iblisi kulingana na matendo yao.