Al-Hijr 15:46 ادخلوها بسلام امنين ٤٦
ٱدۡخُلُوهَا
بِسَلَٰمٍ
ءَامِنِينَ
٤٦
(Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wataambiwa, «Ingieni Mabustani haya mkiwa watulivu mumesalimika na kila ovu mumeaminika na kila adhabu.