Al-Hijr 15:47 ونزعنا ما في صدورهم من غل اخوانا على سرر متقابلين ٤٧
وَنَزَعۡنَا
مَا
فِي
صُدُورِهِم
مِّنۡ
غِلٍّ
إِخۡوَٰنًا
عَلَىٰ
سُرُرٖ
مُّتَقَٰبِلِينَ
٤٧
Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tutawaondolea yaliyomo ndani ya nyoyo zao ya chuki na uadui, wataishi Peponi wakiwa ndugu wapendanao, watakaa kwenye vitanda vikubwa na nyuso zao zitaelekeana katika hali ya kuungana na kupendana.
Na tutawaondolea yaliyomo ndani ya nyoyo zao ya chuki na uadui, wataishi Peponi wakiwa ndugu wapendanao, watakaa kwenye vitanda vikubwa na nyuso zao z…