Al-Hijr 15:51 ونبيهم عن ضيف ابراهيم ٥١
وَنَبِّئۡهُمۡ
عَن
ضَيۡفِ
إِبۡرَٰهِيمَ
٥١
Na uwape khabari za wageni wa Ibrahim. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wapashe habari, ewe Mtume, kuhusu wageni wa Ibrāhīm miongoni mwa Malaika ambao walimpa habari njema za kupata mwana na za kuangamia kwa jamaa za Lūṭ.
Na wapashe habari, ewe Mtume, kuhusu wageni wa Ibrāhīm miongoni mwa Malaika ambao walimpa habari njema za kupata mwana na za kuangamia kwa jamaa za Lū…