Al-Hijr 15:56 قال ومن يقنط من رحمة ربه الا الضالون ٥٦
قَالَ
وَمَن
يَقۡنَطُ
مِن
رَّحۡمَةِ
رَبِّهِۦٓ
إِلَّا
ٱلضَّآلُّونَ
٥٦
Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ibrāhīm akasema, «Hakika hawakati tamaa na rehema za Mola wao isipokuwa walio na makosa waliojitenga na njia ya haki.»