Al-Hijr 15:60 الا امراته قدرنا انها لمن الغابرين ٦٠
إِلَّا
ٱمۡرَأَتَهُۥ
قَدَّرۡنَآ
إِنَّهَا
لَمِنَ
ٱلۡغَٰبِرِينَ
٦٠
Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ama yule mke wake aliye kafiri, tumepitisha kwa amri ya Mwenyezi Mungu kumwangamiza pamoja na watakaosalia kwenye adhabu.»