Al-Hijr 15:66 وقضينا اليه ذالك الامر ان دابر هاولاء مقطوع مصبحين ٦٦
وَقَضَيۡنَآ
إِلَيۡهِ
ذَٰلِكَ
ٱلۡأَمۡرَ
أَنَّ
دَابِرَ
هَٰٓؤُلَآءِ
مَقۡطُوعٞ
مُّصۡبِحِينَ
٦٦
Na tukamfunulia hukumu hiyo, ya kwamba hata wa mwisho wao hao ikifika asubuhi atakuwa kesha katiliwa mbali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukampelekea wahyi Lūṭ kwamba watu wako(waliokukanusha) wataangamizwa wote, hakuna atakayesalia, pindi kutakapoanza kupambazuka.