Al-Hijr 15:67 وجاء اهل المدينة يستبشرون ٦٧
وَجَآءَ
أَهۡلُ
ٱلۡمَدِينَةِ
يَسۡتَبۡشِرُونَ
٦٧
Na wakaja watu wa mji ule nao furahani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakaja wakazi wa mji wa Lūṭ mpaka kwa Lūṭ pindi walipojua kwamba kwake kuna wageni, huku wana furaha na nderemo kwa wageni wake, ili wawachukue wafanye nao machafu.
Na wakaja wakazi wa mji wa Lūṭ mpaka kwa Lūṭ pindi walipojua kwamba kwake kuna wageni, huku wana furaha na nderemo kwa wageni wake, ili wawachukue waf…