Al-Hijr 15:73 فاخذتهم الصيحة مشرقين ٧٣
فَأَخَذَتۡهُمُ
ٱلصَّيۡحَةُ
مُشۡرِقِينَ
٧٣
Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walikuwa hivyo mpaka kilipowashukia kimondo cha adhabu katika kipindi cha kutoka jua.