Al-Hijr 15:75 ان في ذالك لايات للمتوسمين ٧٥
إِنَّ
فِي
ذَٰلِكَ
لَأٓيَٰتٖ
لِّلۡمُتَوَسِّمِينَ
٧٥
Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, katika yale yaliyopwapata pana mawaidha kwa wenye kuangalia na kuzingatia.