Al-Hijr 15:76 وانها لبسبيل مقيم ٧٦
وَإِنَّهَا
لَبِسَبِيلٖ
مُّقِيمٍ
٧٦
Na miji hii ipo kwenye njia inayo pitiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, vijiji vyao viko kwenye njia ya kudumu ambayo wasafiri wanaopitia huko wanaviona.