Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hijr 15:80

15:80
ولقد كذب اصحاب الحجر المرسلين ٨٠
وَلَقَدْ كَذَّبَ أَصْحَـٰبُ ٱلْحِجْرِ ٱلْمُرْسَلِينَ ٨٠
وَلَقَدۡ
كَذَّبَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡحِجۡرِ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
٨٠
Na bila ya shaka wakaazi wa Hijr waliwakanusha Mitume. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kwa hakika, walimkanusha Mtume Ṣāliḥ, amani imshukiye, watu wa bonde la Hijr, nao ni kina Thamūd, wakawa kwahilo ni wenye kuwakanusha Mitume wote. Kwani mwenye kumkanusha Mtume mmoja huwa amewakanusha Mitume wote, kwani wao wako kwenye Dini moja.