Al-Hijr 15:81 واتيناهم اياتنا فكانوا عنها معرضين ٨١
وَءَاتَيۡنَٰهُمۡ
ءَايَٰتِنَا
فَكَانُواْ
عَنۡهَا
مُعۡرِضِينَ
٨١
Na tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tuliwapa watu wa Ṣāliḥ aya zetu zinazojulisha usahihi wa mambo ya haki ambayo amekuja nayo kwao Mtume Ṣāliḥ, na miongoni mwayo ni ngamia, waszingatie kwa aya hizo na wakawa ni wenye kujiweka mbali nazo na kuzipa mgongo.
Na tuliwapa watu wa Ṣāliḥ aya zetu zinazojulisha usahihi wa mambo ya haki ambayo amekuja nayo kwao Mtume Ṣāliḥ, na miongoni mwayo ni ngamia, waszingat…