Al-Hijr 15:96 الذين يجعلون مع الله الاها اخر فسوف يعلمون ٩٦
ٱلَّذِينَ
يَجۡعَلُونَ
مَعَ
ٱللَّهِ
إِلَٰهًا
ءَاخَرَۚ
فَسَوۡفَ
يَعۡلَمُونَ
٩٦
Hao wanao fanya kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu yupo mungu mwingine.Basi, watakuja jua! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
ambao wameifanya mizimu na vinginevyo kuwa ni washirika wa Mwenyezi Mungu. Basi watakuja kuujua mwisho wa vitendo vyao, hapa duniani na kesho Akhera.