Al-Hijr 15:99 واعبد ربك حتى ياتيك اليقين ٩٩
وَٱعۡبُدۡ
رَبَّكَ
حَتَّىٰ
يَأۡتِيَكَ
ٱلۡيَقِينُ
٩٩
Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini. (nao ni Mauti) 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na uendelee kumuabudu Mola wako muda wa uhai wako mpaka ikujie yakini isiyokuwa na shaka nayo ni kifu. Na Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, alitekeleza amri ya Mola Wake, kwani hakuacha kuendelea kumuabudu Mwenyezi Mungu mpaka ikamjia yakini ya kifo kutoka kwa Mola Wake.
Na uendelee kumuabudu Mola wako muda wa uhai wako mpaka ikujie yakini isiyokuwa na shaka nayo ni kifu. Na Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zim…