Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
15:99
واعبد ربك حتى ياتيك اليقين ٩٩
وَٱعْبُدْ رَبَّكَ حَتَّىٰ يَأْتِيَكَ ٱلْيَقِينُ ٩٩
وَٱعۡبُدۡ
رَبَّكَ
حَتَّىٰ
يَأۡتِيَكَ
ٱلۡيَقِينُ
٩٩
Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini. (nao ni Mauti) 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Na uendelee kumuabudu Mola wako muda wa uhai wako mpaka ikujie yakini isiyokuwa na shaka nayo ni kifu. Na Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, alitekeleza amri ya Mola Wake, kwani hakuacha kuendelea kumuabudu Mwenyezi Mungu mpaka ikamjia yakini ya kifo kutoka kwa Mola Wake.