Al-Hujurat 49:4 ان الذين ينادونك من وراء الحجرات اكثرهم لا يعقلون ٤
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
يُنَادُونَكَ
مِن
وَرَآءِ
ٱلۡحُجُرَٰتِ
أَكۡثَرُهُمۡ
لَا
يَعۡقِلُونَ
٤
Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wale wanaokuita, ewe Nabii, nyuma ya vyumba vyako kwa sauti ya juu, wengi wao hawana akili ya kuwapelekea kuwa na adabu nzuri pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kumheshimu.
Hakika ya wale wanaokuita, ewe Nabii, nyuma ya vyumba vyako kwa sauti ya juu, wengi wao hawana akili ya kuwapelekea kuwa na adabu nzuri pamoja na Mtum…