Al-Humazah 104:3 يحسب ان ماله اخلده ٣
يَحۡسَبُ
أَنَّ
مَالَهُۥٓ
أَخۡلَدَهُۥ
٣
Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akidhani kuwa mali yake ambayo ameyakusanya yatampa dhamana ya kuishi milele duniani na kuhepa kuhesabiwa.