Al-Infitar 82:14 وان الفجار لفي جحيم ١٤
وَإِنَّ
ٱلۡفُجَّارَ
لَفِي
جَحِيمٖ
١٤
Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika watu waovu waliopuuza haki za Mwenyezi Mungu na haki za waja wake watakuwa katika Moto mkali.