Al-Inshiqaq 84:15 بلى ان ربه كان به بصيرا ١٥
بَلَىٰٓۚ
إِنَّ
رَبَّهُۥ
كَانَ
بِهِۦ
بَصِيرٗا
١٥
Kwani? Hakika Mola wake Mlezi alikuwa akimwona! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sivyo hivyo! Mwenyezi Mungu Atamrudisha kama alivomuumba na kumlipa kwa amali zake. Kwani Yeye kwake ni Mtambuzi na kwa hali yake ni Mjuzi kuanzia Alipomuumba mpaka kumfufua.
Sivyo hivyo! Mwenyezi Mungu Atamrudisha kama alivomuumba na kumlipa kwa amali zake. Kwani Yeye kwake ni Mtambuzi na kwa hali yake ni Mjuzi kuanzia Ali…