Al-Inshiqaq 84:17 والليل وما وسق ١٧
وَٱلَّيۡلِ
وَمَا
وَسَقَ
١٧
Na kwa usiku na unavyo vikusanya, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa usiku na viunbe tofauti - tofauti vya kutambaa, kuruka na kutembea kwa miguu, uliokusanya.