Al-Inshiqaq 84:5 واذنت لربها وحقت ٥
وَأَذِنَتۡ
لِرَبِّهَا
وَحُقَّتۡ
٥
Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ikatii amri ya Mola wake ya kuwa ifanye hivyo, na inastahili kufuata amri hiyo.