Al-Inshiqaq 84:6 يا ايها الانسان انك كادح الى ربك كدحا فملاقيه ٦
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلۡإِنسَٰنُ
إِنَّكَ
كَادِحٌ
إِلَىٰ
رَبِّكَ
كَدۡحٗا
فَمُلَٰقِيهِ
٦
Ewe mtu! Hakika wewe unajikusuru kwa juhudi kumwendea Mola wako Mlezi, basi utamkuta. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ewe binadamu, wewe unaenda kwa Mwenyezi Mungu na unafanya amali nzuri na mbaya, kisha utakutana na Yeye Siku ya Kiyama. Na huna budi kupata kutoka Kwake malipo mazuri zaidi ya amali yako njema au yanayolingana na amali yako mbaya.
Ewe binadamu, wewe unaenda kwa Mwenyezi Mungu na unafanya amali nzuri na mbaya, kisha utakutana na Yeye Siku ya Kiyama. Na huna budi kupata kutoka Kwa…