Al-Inshiqaq 84:7 فاما من اوتي كتابه بيمينه ٧
فَأَمَّا
مَنۡ
أُوتِيَ
كِتَٰبَهُۥ
بِيَمِينِهِۦ
٧
Ama atakaye pewa daftari lake kwa mkono wa kulia! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yule mwenye kupewa waraka wa amali zake kwa mkono wake wa kulia,