Al-Jathiyah 45:4 وفي خلقكم وما يبث من دابة ايات لقوم يوقنون ٤
وَفِي
خَلۡقِكُمۡ
وَمَا
يَبُثُّ
مِن
دَآبَّةٍ
ءَايَٰتٞ
لِّقَوۡمٖ
يُوقِنُونَ
٤
Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na katika kuwaumba nyinyi, enyi watu, na uumbaji wa vilivyotapakaa ardhini miongoni mwa vinavyotambaa juu yake, kuna hoja na dalili kwa watu wenye imani ya yakini juu ya Mwenyezi Mungu na Sheria Yake.
Na katika kuwaumba nyinyi, enyi watu, na uumbaji wa vilivyotapakaa ardhini miongoni mwa vinavyotambaa juu yake, kuna hoja na dalili kwa watu wenye ima…