Al-Jinn 72:15 واما القاسطون فكانوا لجهنم حطبا ١٥
وَأَمَّا
ٱلۡقَٰسِطُونَ
فَكَانُواْ
لِجَهَنَّمَ
حَطَبٗا
١٥
Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ama wale waliopotoka na njia ya Uislamu, watakuwa ni kuni za Moto wa Jahanamu.»