Al-Jinn 72:16 وان لو استقاموا على الطريقة لاسقيناهم ماء غدقا ١٦
وَأَلَّوِ
ٱسۡتَقَٰمُواْ
عَلَى
ٱلطَّرِيقَةِ
لَأَسۡقَيۡنَٰهُم
مَّآءً
غَدَقٗا
١٦
Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau makafiri wa kibinadamu na kijini wangalifuata njia ya Uislamu na wasijiepushe nayo, tungaliwateremshia maji mengi na tungaliwakunjulia riziki duniani,
Na lau makafiri wa kibinadamu na kijini wangalifuata njia ya Uislamu na wasijiepushe nayo, tungaliwateremshia maji mengi na tungaliwakunjulia riziki d…