Al-Jumua 62:3 واخرين منهم لما يلحقوا بهم وهو العزيز الحكيم ٣
وَءَاخَرِينَ
مِنۡهُمۡ
لَمَّا
يَلۡحَقُواْ
بِهِمۡۚ
وَهُوَ
ٱلۡعَزِيزُ
ٱلۡحَكِيمُ
٣
Na kwa wengine ambao bado hawajaungana nao. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Amemtuma yeye kwa watu wengine watakaokuja ambao bado hawajakuja miongoni mwa Waarabu na wengineo. Na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, Peke Yake, Ndiye Mshindi mwenye kushinda juu ya kila kitu, Mwingi wa hekima katika maneno Yake na matendo Yake.
Amemtuma yeye kwa watu wengine watakaokuja ambao bado hawajakuja miongoni mwa Waarabu na wengineo. Na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, Peke Yake, Ndiye Msh…