Al-Kafirun 109:5 ولا انتم عابدون ما اعبد ٥
وَلَآ
أَنتُمۡ
عَٰبِدُونَ
مَآ
أَعۡبُدُ
٥
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Wala nyinyi si wenye kuabudu mbeleni ninayemuabudu.» Aya hii imeteremka juu ya watu makhsusi miongoni mwa washirikina ambao Mwenyezi Mungu Alijua kuwa hawataamini kabisa.
«Wala nyinyi si wenye kuabudu mbeleni ninayemuabudu.» Aya hii imeteremka juu ya watu makhsusi miongoni mwa washirikina ambao Mwenyezi Mungu Alijua kuw…