Al-Kahf 18:107 ان الذين امنوا وعملوا الصالحات كانت لهم جنات الفردوس نزلا ١٠٧
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
كَانَتۡ
لَهُمۡ
جَنَّٰتُ
ٱلۡفِرۡدَوۡسِ
نُزُلًا
١٠٧
Hakika wale walio amini na wakatenda mema mashukio yao yatakuwa kwenye Pepo za Firdausi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale walioniamini, wakawakubali Mitume wangu na wakafanya mema watapata Pepo ya juu kabisa, ya kati na kati na yenye mashukio bora kabisa.