Al-Kahf 18:108 خالدين فيها لا يبغون عنها حولا ١٠٨
خَٰلِدِينَ
فِيهَا
لَا
يَبۡغُونَ
عَنۡهَا
حِوَلٗا
١٠٨
Watadumu humo; hawatataka kuondoka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hali ya kukaa milele humo, hawatataka kuepukana nayo kwa kuwa na hamu nayo na kuipenda.