Al-Kahf 18:11 فضربنا على اذانهم في الكهف سنين عددا ١١
فَضَرَبۡنَا
عَلَىٰٓ
ءَاذَانِهِمۡ
فِي
ٱلۡكَهۡفِ
سِنِينَ
عَدَدٗا
١١
Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo tukawalaza usingizi mrefu, na wakasalia kwenye pango miaka mingi.