Al-Kahf 18:25 ولبثوا في كهفهم ثلاث ماية سنين وازدادوا تسعا ٢٥
وَلَبِثُواْ
فِي
كَهۡفِهِمۡ
ثَلَٰثَ
مِاْئَةٖ
سِنِينَ
وَٱزۡدَادُواْ
تِسۡعٗا
٢٥
Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na vijana hao walikaa wakiwa wamelala ndani ya pango yao muda wa miaka mia tatu na siku tisa kwa hesabu ya kimwezi.