Al-Kahf 18:4 وينذر الذين قالوا اتخذ الله ولدا ٤
وَيُنذِرَ
ٱلَّذِينَ
قَالُواْ
ٱتَّخَذَ
ٱللَّهُ
وَلَدٗا
٤
Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na awaonye kwayo washirikina waliosema, «Mwenyezi Mungu Amejifanyia mtoto.»