Al-Kahf 18:40 فعسى ربي ان يوتين خيرا من جنتك ويرسل عليها حسبانا من السماء فتصبح صعيدا زلقا ٤٠
فَعَسَىٰ
رَبِّيٓ
أَن
يُؤۡتِيَنِ
خَيۡرٗا
مِّن
جَنَّتِكَ
وَيُرۡسِلَ
عَلَيۡهَا
حُسۡبَانٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَآءِ
فَتُصۡبِحَ
صَعِيدٗا
زَلَقًا
٤٠
Basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye akapitisha kudra yake kutoka mbinguni kukilitea hicho chako, na kikageuka ardhi tupu inayo teleza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
basi Mwenyezi Mungu huenda Akanipa mimi bora zaidi kuliko shamba lako, na Akakuondolea hiyo neema kwa ukafiri wako, na akailetea shamba yako adhabu kutoka mbinguni ikawa ni ardhi tupu iliyo kavu ambayo nyayo haziwezi kuthibiti juu yake wala hakuna mmea unaoota,
basi Mwenyezi Mungu huenda Akanipa mimi bora zaidi kuliko shamba lako, na Akakuondolea hiyo neema kwa ukafiri wako, na akailetea shamba yako adhabu ku…