Al-Kahf 18:53 وراى المجرمون النار فظنوا انهم مواقعوها ولم يجدوا عنها مصرفا ٥٣
وَرَءَا
ٱلۡمُجۡرِمُونَ
ٱلنَّارَ
فَظَنُّوٓاْ
أَنَّهُم
مُّوَاقِعُوهَا
وَلَمۡ
يَجِدُواْ
عَنۡهَا
مَصۡرِفٗا
٥٣
Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; wala hawatapata pa kuuepuka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hao wahalifu wakaushuhudia Moto, na wakawa na yakini kwamba wao hapana budi ni wenye kuingia humo na wasipate njia yoyote ya kupitia ili kujiepusha nao.
Na hao wahalifu wakaushuhudia Moto, na wakawa na yakini kwamba wao hapana budi ni wenye kuingia humo na wasipate njia yoyote ya kupitia ili kujiepusha…