Al-Kahf 18:8 وانا لجاعلون ما عليها صعيدا جرزا ٨
وَإِنَّا
لَجَٰعِلُونَ
مَا
عَلَيۡهَا
صَعِيدٗا
جُرُزًا
٨
Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio juu ya ardhi kuwa kama nchi ilio pigwa na ukame. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na sisi, dunia imalizikapo, ni wenye kuvifanya vilivyoko juu ya ardhi, kati ya hilo pambo, viwe mchanga usio na mimea.