Al-Kahf 18:88 واما من امن وعمل صالحا فله جزاء الحسنى وسنقول له من امرنا يسرا ٨٨
وَأَمَّا
مَنۡ
ءَامَنَ
وَعَمِلَ
صَٰلِحٗا
فَلَهُۥ
جَزَآءً
ٱلۡحُسۡنَىٰۖ
وَسَنَقُولُ
لَهُۥ
مِنۡ
أَمۡرِنَا
يُسۡرٗا
٨٨
Na ama aliye amini na akatenda mema basi atapata malipo mazuri. Nasi tutamwambia lilio jepesi katika amri yetu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na ama aliyemuamini Mola wake miongoni mwao, akamkubali, akampwekesha na akafanya matendo ya utiifu Kwake, basi atapata Pepo ikiwa ni malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na tutamfanyia wema na tutasema naye kwa upole na tutaamiliana naye kwa usahali.»
«Na ama aliyemuamini Mola wake miongoni mwao, akamkubali, akampwekesha na akafanya matendo ya utiifu Kwake, basi atapata Pepo ikiwa ni malipo kutoka k…