Al-Kawthar 108:2 فصل لربك وانحر ٢
فَصَلِّ
لِرَبِّكَ
وَٱنۡحَرۡ
٢
Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi, mtakasie Mola wako ibada yako yote na uchinje mnyama wako kwa ajili Yake, Peke Yake, pamoja na kutaja jina Lake.