Al-Lahab 111:1 تبت يدا ابي لهب وتب ١
تَبَّتۡ
يَدَآ
أَبِي
لَهَبٖ
وَتَبَّ
١
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Imehasirika mikono miwili ya Abu Lahab, na yeye mwenyewe ameangamia, kwa kumuudhi Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Hasara ya Abu Lahab ilithubutu.
Imehasirika mikono miwili ya Abu Lahab, na yeye mwenyewe ameangamia, kwa kumuudhi Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Hasara ya Abu La…