Al-Lahab 111:5 في جيدها حبل من مسد ٥
فِي
جِيدِهَا
حَبۡلٞ
مِّن
مَّسَدِۭ
٥
Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwenye shingo yake patakuwa na kamba imara ya lifu gumu lilio kavu; atabebewa nayo kwenye Moto wa Jahanamu, kisha atarushwa nayo mpaka chini.