Al-Layl 92:14 فانذرتكم نارا تلظى ١٤
فَأَنذَرۡتُكُمۡ
نَارٗا
تَلَظَّىٰ
١٤
Basi nakuonyeni na Moto unao waka! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ndipo nikawaonya , enyi watu, na kuwatisha moto wenye kuwaka, nao ni moto wa Jahanamu.