Al-Layl 92:19 وما لاحد عنده من نعمة تجزى ١٩
وَمَا
لِأَحَدٍ
عِندَهُۥ
مِن
نِّعۡمَةٖ
تُجۡزَىٰٓ
١٩
Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kutoa Kwake si kwa kulipa zema alizofanyiwa na mtu.